[Sehemu ya kwanza ya nyongeza muhimu ya Neno la Kumi]
Source text is preserved. When a suitable model is available, translation is displayed separately.
Asâ-yı Mûsâ
The Ninth Ray
Source: quranrisale.com international high-fidelity editions · Risale-Nur official authorized multilingual publication
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.
Basi mtakaseni Mwenyezi Mungu mnapoingia jioni na mnapoamka asubuhi. Na sifa njema ni zake mbinguni na katika ardhi. na alasiri na siku inapoanza kupungua. Yeye ndiye anaye mtoa kilicho hai katika kilicho kufa, na anakitoa kilicho kufa kutoka kwa kilicho hai, na ndiye anaye ihuisha ardhi baada ya kufa kwake.

