İman ve Küfür Muvazeneleri

The Second Word

Source: quranrisale.com international high-fidelity editions · Risale-Nur official authorized multilingual publication
Risale reading plan
§1

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

§2

Na aliye pewa hikima amepewa kheri kubwa.

§3

[Neno hili lina ulinganisho mfupi baina ya hekima tukufu ya Qur’ani yenye hikima na hekima ya falsafa na sayansi, na mukhtasari mfupi wa mafundisho na mafunzo ambayo hekima ya Qur’ani inampa mwanadamu katika maisha yake binafsi na maisha ya kijamii, na dalili ya ubora wa Qur’ani juu ya maneno mengine ya Kimungu, na kwa maneno yote. Th

Private reading note

This note stays on this device and is never uploaded to a server.

Up to 1,200 characters