İman ve Küfür Muvazeneleri

The Fourth Word

Source: quranrisale.com international high-fidelity editions · Risale-Nur official authorized multilingual publication
Risale reading plan
§1

Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu.

§2

Alif. Lam. Ra. [Hiki ni] Kitabu chenye Aya za msingi. Imefafanuliwa zaidi kwa undani, kutoka kwa Mwenye hikima na Mjuzi [wa kila kitu].

§3

[Ili tupande kwenye baadhi ya haki zilizotukuka za Qur’ani Tukufu, na Hadithi, ambazo ni mfasiri wa kweli wa Qur’ani, tutaashiria idadi ya ulinganisho wa kweli hizo ambazo ni kama hatua za kuzisaidia nyoyo zenye upungufu wa kunyenyekea na utii, na tutaeleza katika Hitimisho somo la somo na siri inayohusu.

Private reading note

This note stays on this device and is never uploaded to a server.

Up to 1,200 characters