Lem'alar

The Twenty-Eighth Gleam

Source: risaleinur multilingual dataset, risale.site source · Risale-Nur multilingual research corpus
Risale reading plan
§1

Kutoka katika Muale wa Ishirini na Nane. Haya yanahusu nukta moja iliyo kwenye aya: اِنَّ النَّف۟سَ لَاَمَّارَةٌ بِالسُّٓوءِ na Hadithi, yenye maana ifuatayo: (Adui wako mbaya zaidi ni nafsi yako.) Mtu anayejipenda mwenyewe - kama nafsi yake yenye kuamuru uovu haikutakaswa - hatampenda mwingine. Hata kama atafanya hivyo waziwazi, hatafanya kwa unyoofu, atafanya hivyo kwa ajili ya kujifurahisha au kwa ajili ya kunufaika. Kila mara huwa anajaribu apendwe. Pia, kamwe hajinasibishi na dosari. Huwa anajilinda na kujiweka huru kama mwanasheria. Anajisifu huku akijikweza na hata kudanganya, kwa kujionesha kutokuwa na makosa na anajitukuza, na kwa mujibu wa kiwango chake, anapata pigo kutoka katika aya, مَنِ اتَّخَذَ اِلٰهَهُ هَوٰيهُ Nafsi yake inayojisifu na inafanya juhudi ya kumfanya apendwe hupata matokeo tofauti kwa kufanyiwa dharau na kutendewa vibaya. Pia anakosa ikhlasi kwenye vitendo vyake vya kuelekea akhera na vinachanganyika na unafiki. Anazidiwa na hisia na utashi wa nafsi ambavyo havioni matokeo yake, havitafakari athari na vimejawa na anasa za sasa; anatumikia kifungo cha mwaka mmoja jela kwa sababu ya furaha ya saa moja iliyohitajiwa na hisia zake zilizopotoka. Anataabika kwa adhabu ya miaka kumi kwa sababu ya fahari au ulipizaji kisasi wa dakika moja. Sawa sawa, na mtoto mpumbavu anayeuza juzu ya Qur’an kwa pipi moja, ili afurahishe matamanio yake, kutimiza hisia zake na kutosheleza hamu zake, anabadili amali zake njema kama almasi katika njia ya furaha na majisifu yasiyo muhimu kwa vipande vya chupa, na kupata hasara kubwa ambapo alipaswa apate faida kubwa. اَللّٰهُمَّ اح۟فَظ۟نَا مِن۟ شَرِّ النَّف۟سِ وَالشَّي۟طَانِ وَمِن۟ شَرِّ ال۟جِنِّ وَال۟اِن۟سَانِ Sual: Kısa bir zamandaki küfre mukabil, hadsiz bir zaman cehennemde hapis nasıl adalet olur? Elcevap: Sene, üç yüz altmış beş gün hesabıyla, bir dakikada katl, yedi milyon sekiz yüz seksen dört bin dakika hapis iktizası kanun-u adalet iken; bir dakika küfür, bin katl hükmünde olduğundan, yirmi sene ömrünü küfürle geçiren ve küfür ile ölen bir adam, kanun-u adaletle elli yedi trilyon iki yüz bir milyar iki yüz milyon sene beşerin kanun-u adaletiyle hapse müstahak olur. Elbette خَالِدٖينَ فٖيهَٓا اَبَدًا adalet-i İlahî ile vech-i muvafakatı bundan anlaşılıyor. Birbirinden gayet uzak iki adedin sırr-ı münasebeti şudur ki: Katl ve küfür, tahrip ve tecavüz olduğu için gayra tesirat yapar. Bir dakikada katl, lâekall zâhirî âdete göre on beş sene maktûlün hayatını selbeder, onun yerine hapse girer. Bir dakika küfür, bin bir esma-i İlahîyi inkâr ve nukuşlarını tezyif ve kâinatın hukukuna tecavüz ve kemalâtını inkâr ve hadsiz delail-i vahdaniyeti tekzip ve şehadetlerini reddetmek olduğundan kâfiri, binler seneden ziyade esfel-i safilîne atar خَالِدٖينَ de hapseder. Said Nursî

Private reading note

This note stays on this device and is never uploaded to a server.

Up to 1,200 characters